Natafuta mwenyeji Arusha

Natafuta mwenyeji Arusha

Yani I can't wait
Bcoz...
Kuingia getini tu unakaribishwa na Nyani wanapanda kwenye magari na hawaogopi. Ukizubaa wanakuibia hata simu.

Then baada ya hapo kuna camp nyingii kama nyati..chui..simba nk.
Tembo mbogo nmk mchana kweupe unawaona na hawakimbii wala kukudhuru labda wawe na hasira.

Kuna mecury..oldupai..udongo wa kuhama. Ni wewe tu mpendwa.

Crater
 
Hyo sasa iko vzuri napenda kumuona faru john na simba mubashara kabisa
 
Bcoz...
Kuingia getini tu unakaribishwa na Nyani wanapanda kwenye magari na hawaogopi. Ukizubaa wanakuibia hata simu.

Then baada ya hapo kuna camp nyingii kama nyati..chui..simba nk.
Tembo mbogo nmk mchana kweupe unawaona na hawakimbii wala kukudhuru labda wawe na hasira.

Kuna mecury..oldupai..udongo wa kuhama. Ni wewe tu mpendwa.

Crater
Mkuu unanikumbusha mbali
 
kama una mashaka na mapokezi yangu mtafute Bonny nae ni wa huko huko akupokee vizuri
Akaaa. ..nakutaka wewe twende raskazone tukameze mimaji tukitoka hapo tunyooshe viuno chichi then tuingie zetu resort kunyoosha viungo vingine
 
Back
Top Bottom