mm ni dar kwa sasa nikienda huko nitakushika mkono twende woteAkaaa. ..nakutaka wewe twende raskazone tukameze mimaji tukitoka hapo tunyooshe viuno chichi then tuingie zetu resort kunyoosha viungo vingine
Ndio I can join you mubashara kabisaNinaenda 3 weeks to come, utanijoin!
Dar joto limezidi bhana...tunaenda lini sasa. Nimekaa nguvumali saana.mm ni dar kwa sasa nikienda huko nitakushika mkono twende wote
Haha....nimechungulia tu .na nimesharudi kwanguNdio I can join you mubashara kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Arusha mkuu kwenye vivutio pamebarikiwa..kuanzia wanyama mpaka watu (maasai) [emoji23][emoji23]
Karibu sana, unaweza kuja wikend moja chap nikupeleke Arusha national park nayo ni nzuri sana, unaenda asubuhi na jioni unarejea town ukiwa na memory taamu kabisa my sweetNdio I can join you mubashara kabisa
Hahaha...wamasai wa oldonyo lengai..engaruka yote ya juu na chini ngarasero wanahali mbaya saana maana ile ardhi ni kame.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamasai wamejigeuza utalii, siku moja nikiwa na wageni kuelekea serengeti kupitia oldonyo lengai, tulipata pancha pale wanaita serengeti ndogo, wakaja wamasai wanataka wapigwe picha, nikawaambia wageni wawulize kabla hawaja pics picha wakasema haina tatizo acha tuwapige picha. Mara baada ya kupigwa picha wakanyoosha mikono wanadai pesa, wageni wakashangaa kwanini walipie picha. Nikawaambia walipeni niliwapa tahadhari hao no mali asili. Wageni walishangaa sana. Ndg zako wamejigeuza wanyama Daby
tutaenda na husna akiwepoDar joto limezidi bhana...tunaenda lini sasa. Nimekaa nguvumali saana.
Hahahhahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamasai wamejigeuza utalii, siku moja nikiwa na wageni kuelekea serengeti kupitia oldonyo lengai, tulipata pancha pale wanaita serengeti ndogo, wakaja wamasai wanataka wapigwe picha, nikawaambia wageni wawulize kabla hawaja pics picha wakasema haina tatizo acha tuwapige picha. Mara baada ya kupigwa picha wakanyoosha mikono wanadai pesa, wageni wakashangaa kwanini walipie picha. Nikawaambia walipeni niliwapa tahadhari hao no mali asili. Wageni walishangaa sana. Ndg zako wamejigeuza wanyama Daby
Nikipakumbuka Tanga huwa najicheka saana. Nilitoka Arusha sijui vigodoro sijui wala baikoko sasa zikipigwa nilikuwa nashangaa saana utoto raha.tutaenda na husna akiwepo
Siku moja nilijiuliza tu kuwa hawa wanawake hukutana na waume zao kimwili walivyo wachafu!!!Hahaha...wamasai wa oldonyo lengai..engaruka yote ya juu na chini ngarasero wanahali mbaya saana maana ile ardhi ni kame.
Mara nyingi pale oldonyo lengai wanategemea maji ya kuomba kwa wasafiri
Ni kweli dada. Kule loliondo kwa wasonjo bado wasichana wanatembea kifua wazi nyonyo nje na wanafunika ikulu tuuuHahahhahah
Ukitaka kujua maisha is so funny wanaishi na wanafurahia uwepo wao duniani. Na wala hawamjui bashite wala magufuli.Siku moja nilijiuliza tu kuwa hawa wanawake hukutana na waume zao kimwili walivyo wachafu!!!
Ukimkuta porini asipotikisika au kutembea utadhani gogo, wakiona gari wanakimbilia huku wakinyanyua chupa juu ishara ya kuomba maji na hawajui kiswahili kabsaaa
Heri wenzangu na mimi!
Naomba mtu aliyepo mjini Arusha aniPM,natarajia kwenda huko na itakuwa mara yangu ya kwanza.Hivyo ningependa nimpate mwenyeji
mpk baikoko unaijua kibao kata je [emoji134]Nikipakumbuka Tanga huwa najicheka saana. Nilitoka Arusha sijui vigodoro sijui wala baikoko sasa zikipigwa nilikuwa nashangaa saana utoto raha.
ila nyie mnaona maajabu hivi hamuwatamaniNi kweli dada. Kule loliondo kwa wasonjo bado wasichana wanatembea kifua wazi nyonyo nje na wanafunika ikulu tuuu
Kabisa mkuu, wanaona raha kuish hukoUkitaka kujua maisha is so funny wanaishi na wanafurahia uwepo wao duniani. Na wala hawamjui bashite wala magufuli.
Maisha yenye furaha yanategema na anayetaka kuyafurahia.
Haha najua vyote...mpk baikoko unaijua kibao kata je [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ila nyie mnaona maajabu hivi hamuwatamani
Si kama nyie tu huku mjini...mtu mpododoo huo ila anakuvalia kigauni chepesi sawa tu....kwani nini bhana wanaume tumeumbiwa matesoila nyie mnaona maajabu hivi hamuwatamani