Natafuta mwenyeji Arusha

Natafuta mwenyeji Arusha

Akaaa. ..nakutaka wewe twende raskazone tukameze mimaji tukitoka hapo tunyooshe viuno chichi then tuingie zetu resort kunyoosha viungo vingine
mm ni dar kwa sasa nikienda huko nitakushika mkono twende wote
 
Arusha mkuu kwenye vivutio pamebarikiwa..kuanzia wanyama mpaka watu (maasai) [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamasai wamejigeuza utalii, siku moja nikiwa na wageni kuelekea serengeti kupitia oldonyo lengai, tulipata pancha pale wanaita serengeti ndogo, wakaja wamasai wanataka wapigwe picha, nikawaambia wageni wawulize kabla hawaja pics picha wakasema haina tatizo acha tuwapige picha. Mara baada ya kupigwa picha wakanyoosha mikono wanadai pesa, wageni wakashangaa kwanini walipie picha. Nikawaambia walipeni niliwapa tahadhari hao no mali asili. Wageni walishangaa sana. Ndg zako wamejigeuza wanyama Daby
 
Hahaha...wamasai wa oldonyo lengai..engaruka yote ya juu na chini ngarasero wanahali mbaya saana maana ile ardhi ni kame.

Mara nyingi pale oldonyo lengai wanategemea maji ya kuomba kwa wasafiri
 
Hahahhahah
 
tutaenda na husna akiwepo
Nikipakumbuka Tanga huwa najicheka saana. Nilitoka Arusha sijui vigodoro sijui wala baikoko sasa zikipigwa nilikuwa nashangaa saana utoto raha.
 
Hahaha...wamasai wa oldonyo lengai..engaruka yote ya juu na chini ngarasero wanahali mbaya saana maana ile ardhi ni kame.

Mara nyingi pale oldonyo lengai wanategemea maji ya kuomba kwa wasafiri
Siku moja nilijiuliza tu kuwa hawa wanawake hukutana na waume zao kimwili walivyo wachafu!!!
Ukimkuta porini asipotikisika au kutembea utadhani gogo, wakiona gari wanakimbilia huku wakinyanyua chupa juu ishara ya kuomba maji na hawajui kiswahili kabsaaa
 
Ukitaka kujua maisha is so funny wanaishi na wanafurahia uwepo wao duniani. Na wala hawamjui bashite wala magufuli.

Maisha yenye furaha yanategema na anayetaka kuyafurahia.
 
Heri wenzangu na mimi!
Naomba mtu aliyepo mjini Arusha aniPM,natarajia kwenda huko na itakuwa mara yangu ya kwanza.Hivyo ningependa nimpate mwenyeji

Tunaogopa tukikupokea utaanza kutuomba hadi drinks then pa kulala!
Wewe fikia hotelini tu mkuu,mji mgumu huu kum host mgeni
 
Ukitaka kujua maisha is so funny wanaishi na wanafurahia uwepo wao duniani. Na wala hawamjui bashite wala magufuli.

Maisha yenye furaha yanategema na anayetaka kuyafurahia.
Kabisa mkuu, wanaona raha kuish huko
 
mpk baikoko unaijua kibao kata je [emoji134]
Haha najua vyote...
Kuanzia kisosora magomeni kambi ya fisi mikanjuni pita kote hadi Sahara urudi usagara mpaka majani mapana...nilikuwa naenda kushangaaa baikoko
 
ila nyie mnaona maajabu hivi hamuwatamani
Si kama nyie tu huku mjini...mtu mpododoo huo ila anakuvalia kigauni chepesi sawa tu....kwani nini bhana wanaume tumeumbiwa mateso
 
Back
Top Bottom