Cheusi Mangala
Member
- Sep 6, 2016
- 26
- 62
Hongera kwa kwenda kupiga Kaz iringa.ni mkoa uko Safi Sana,maisha ni simpo Sana ,vyakura Bei rahisi ,pia hali ya hewa ni nzuri !! Kuna ma lodge ya kutosha na standard.ila Kama mwanaume wanawake wa iringa be care,na Kama mwanamke usijiachie kupitiliza kwenye huo mkoa .ukiwa iringa ni rahisi kuingia jiji la DODOMA nauli buku 10,ukitaka kuingia jiji la mbeya pia simpo nauli buku 15.mwanaume au mwanamke? na uhaitaj mwenyeji wa kukutaftia pa kulala au
Duh ndo unataka kupata jiko kirahis hvi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]karibu iringa mkoa wa mkwawa[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
UMEFANIKIWA?