Cheusi Mangala
Member
- Sep 6, 2016
- 26
- 62
Jamani natafuta mtu yeyote anayeweza kuwa mwenyeji wangu Iringa mjini. Sijawai kufika, ila natakiwa kwenda iringa kikazi hivi karibuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kwenda kupiga Kaz iringa.ni mkoa uko Safi Sana,maisha ni simpo Sana ,vyakura Bei rahisi ,pia hali ya hewa ni nzuri !! Kuna ma lodge ya kutosha na standard.ila Kama mwanaume wanawake wa iringa be care,na Kama mwanamke usijiachie kupitiliza kwenye huo mkoa .ukiwa iringa ni rahisi kuingia jiji la DODOMA nauli buku 10,ukitaka kuingia jiji la mbeya pia simpo nauli buku 15.mwanaume au mwanamke? na uhaitaj mwenyeji wa kukutaftia pa kulala au
Duh ndo unataka kupata jiko kirahis hvi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]karibu iringa mkoa wa mkwawa[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
UMEFANIKIWA?