Natafuta mwenyeji Iringa Mjini

Natafuta mwenyeji Iringa Mjini

mwanaume au mwanamke? na uhaitaj mwenyeji wa kukutaftia pa kulala au
Hongera kwa kwenda kupiga Kaz iringa.ni mkoa uko Safi Sana,maisha ni simpo Sana ,vyakura Bei rahisi ,pia hali ya hewa ni nzuri !! Kuna ma lodge ya kutosha na standard.ila Kama mwanaume wanawake wa iringa be care,na Kama mwanamke usijiachie kupitiliza kwenye huo mkoa .ukiwa iringa ni rahisi kuingia jiji la DODOMA nauli buku 10,ukitaka kuingia jiji la mbeya pia simpo nauli buku 15.
 
Duh ndo unataka kupata jiko kirahis hvi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]karibu iringa mkoa wa mkwawa[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Fika kwanza utapata wenyeji wa kutosha
 
Kama bandiko lako halina uhusiano na slopes....

Basi Fika Iringa, tafuta Lodge then wenyeji utawapata..

Binadamu wa siku hizi ni wagumu sana kupokea ugeni, hata ndugu zao ni taabu
 
Tangazo tangazo
Screenshot_20220619-193019.jpg
 
Back
Top Bottom