Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Zamu yako na wewe sasa utakufa na upwiru shauriako 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamu yako na wewe sasa utakufa na upwiru shauriako 😅
Pole sana, utapataMimi ni mwanamke, umri miaka 36 natafuta mwenzi umri kuanzia miaka 36 -54 awe HIV Positive
Ongea na Aaliyyah ani nusuru😂😂😂Zamu yako na wewe sasa utakufa na upwiru shauriako 😅
Aendelee kutafuta..
Na naenda kusema 😂😂Yaani litoto halina adabu, kazi kuharibu mipango kila ninapo weka mitego...☹️
Mi napenda hiziAendelee kutafuta..
Mi fursa kama hizi sitaki kabisa
Mimi ni mwanamke, umri miaka 36 natafuta mwenzi umri kuanzia miaka 36 -54 awe HIV Positive
Vipimo vingine ni vipi hivyo mbn kama kaficha😂😂Sawa Mungu akutangulie,Ila pia awe negative kwenye vipimo vingine
Ukikua utaachaMi napenda hizi
Kaka sasa tunakua marangapi umri kaainisha tyar apo ntaachaje Kati naitaji kuianza safari ya mahaba vyema ni bless tu😆Ukikua utaacha
Vijana wa hovyo kila siku mnatafuta mapya...Kaka sasa tunakua marangapi umri kaainisha tyar apo ntaachaje Kati naitaji kuianza safari ya mahaba vyema ni bless tu😆
Sasa chief mimi apo kosa langu nini anyway Wacha nijitafute wapi ntaenda kuangukia ktk penzi zito maana usingle huu sio mzuri japo unaaamani kosa ni pale unaumwa tu😂Vijana wa hovyo kila siku mnatafuta mapya...
Sasa hivi tuta deals na nyie vzr sana 🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Daaah kijana mnapenda sana mitulinga alaaah...🤓🤓🤓🤓Sasa chief mimi apo kosa langu nini anyway Wacha nijitafute wapi ntaenda kuangukia ktk penzi zito maana usingle huu sio mzuri japo unaaamani kosa ni pale unaumwa tu😂
Chief kwani we hupendi ndugu mbususu maana isije kua ngoma haivumiDaaah kijana mnapenda sana mitulinga alaaah...🤓🤓🤓🤓
Daah hapana sio kama ww inaelekea ww unaona kama chakula hiko kituChief kwani we hupendi ndugu mbususu maana isije kua ngoma haivumi
Hpn sijageuza kama msosi chief isipokua tu kuna mda mwili unaitaji upime girisi sasa hakuna kipingamizi lazima utafute ili kufanya mwili uwe mwepesi Kisha uwndelee na jambo lingine tn kwa sasa mmbo wameraisisha namna hii tabu tupuDaah hapana sio kama ww inaelekea ww unaona kama chakula hiko kitu
🙌🤓
Kijana unavokomalia vitu vya ajabu sasa na unatoa point mwenyewe dah 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓....Hpn sijageuza kama msosi chief isipokua tu kuna mda mwili unaitaji upime girisi sasa hakuna kipingamizi lazima utafute ili kufanya mwili uwe mwepesi Kisha uwndelee na jambo lingine tn kwa sasa mmbo wameraisisha namna hii tabu tupu
Ntatulia ndugu ngoja moyo upate anguko mahali husika tu😆😆Kijana unavokomalia vitu vya ajabu sasa na unatoa point mwenyewe dah 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓....
Utatulia wewe kweli