Natafuta mwenza anayeishi na VVU

Natafuta mwenza anayeishi na VVU

Na kweli iwe hivo..
Nyie vijana wa hovyo hamjawahi kuwa seriously sasa ww kuwa miongoni mwao sawa 🤓🙌
Hapana mimi sio miongoni mwa wale waliopotea njia isipokua moyo ukishapata mahali salama bc kila kitu hubadilika
 
Naona fursa imenipita sasa pinkrose kapata ama bado anang'ang'ana mshedede
 
Back
Top Bottom