Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akupe hitaji la moyo wakoNatafuta mwanaume mwenye hiv +,mwenye uelewa na afya yake na Anatumia ARV.aliye serious tafadhali mengine tutajuana PM
Kwani kasema anataka mbovu?Mzima humtaki
Pole sana dear. Endelea kutafuta utampata wa kufananae kuna dada kule Instagram ana hali kama yako ni maarufu kimtindo kwani amejitangaza kuwa na hiyo hali.
Huwa anafanya kazi ya kuwakutanisha kwenye mapenzi watu wenye vvu pia anatoa na elimu.
Hello!Natafuta mwanaume mwenye hiv +,mwenye uelewa na afya yake na Anatumia ARV.aliye serious tafadhali mengine tutajuana PM