Kayumba Barakah
New Member
- Mar 10, 2024
- 4
- 14
Kwamba atatapeliwa penzi au???Mtaani uko sinza,ubungo,Kimara hujawaona mpk unakuja JAMII forums umu kuna matapeliii wengi kuwa makini mkuu.
Ww hutafuti Tena?maana yule amekuachaKila lakheri kaka. Utampata wapo wengi sana wenye sifa izo.
Iwapo watakuja wa kuzidi nipunguzie baadhi πMimi ni kijana wa miaka 32, mkristo, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja. Karibu PM
Sifa za mwenza ninayemtaka
1. Awe na umri kuanzia miaka 28 na kuendelea.
2. Dini yoyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi.
3. Awe anajishuhulisha
4. Awe mwenye utu na ajue thamani ya upendo na awe tayari kuingia kwenye mahusiano.
5. Nitapendelea zaidi akiwa na mwili wa kawaida na kimo Cha kawaida.
πKwamba atatapeliwa penzi au???