Kayumba Barakah
New Member
- Mar 10, 2024
- 4
- 14
Mimi ni kijana wa miaka 32, mkristo, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja. Karibu PM
Sifa za mwenza ninayemtaka
1. Awe na umri kuanzia miaka 28 na kuendelea.
2. Dini yoyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi.
3. Awe anajishuhulisha
4. Awe mwenye utu na ajue thamani ya upendo na awe tayari kuingia kwenye mahusiano.
5. Nitapendelea zaidi akiwa na mwili wa kawaida na kimo Cha kawaida.