Natafuta Mwenza (Mume)

Natafuta Mwenza (Mume)

Hahahahahahahah jiandae kulipa deni ...na hapo ukute kitu kimepiga science alipata 100%

Umeona! ndo maana nataka majibu kamili ili nijitose nikiwa na taarifa kamili
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mengine unakutana nayo mbele ya safari

Yes lakini hili nataka nijuwe kabla sijamjua yeye! Unakuta mtu kachukuwa 100%, bum liliishia kununua vizawadi vya basidei na mitoko na mabebi wake mie sikuambulia hata senti.... leo kwenye malipo naonekana ni mtuhumiwa namba moja..... khaaaa yataka moyo
 
Hahahahahahahahah bumu si ndo limemtunza mpaka mnakutana
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Upo serious???
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Miaka 32 its too late already....tafuta yeyote anayepumua tu......soon utaingia 35 - 40 ambayo ni danger zone
 
Back
Top Bottom