kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Utakuwa una gundu hasa. Ni nadra sana kwa tangazo la mwanamke kutafuta mwenza likachukua masaa bila wachangiaji. Toka saa tano asubuhi watu wamelilia bati.
Anyways umeruka kipengele cha muhimu sana katika maelezo yako, hujasema kama una chura. Maana kama ni flat screen basi wewe ni 'mkuu' tu kama sisi.
Bila ya chura tubishane kuhusu mpira na kubet tu.
Kua na huruma mkuu[emoji846]