Utakuwa una gundu hasa. Ni nadra sana kwa tangazo la mwanamke kutafuta mwenza likachukua masaa bila wachangiaji. Toka saa tano asubuhi watu wamelilia bati.
Anyways umeruka kipengele cha muhimu sana katika maelezo yako, hujasema kama una chura. Maana kama ni flat screen basi wewe ni 'mkuu' tu kama sisi.
Bila ya chura tubishane kuhusu mpira na kubet tu.
Akitaka friends with benefits nipo hapa 😀Inamaaana hamuoni kabisa dronedrake Glenn Extrovert Mzee wa kupambania MLEVi Mmoja Carlos The Jackal Equation x Liverpool VPN
Kwamba hamuoni au😆
Sasa kama mtu anakuacha unamfungulia kesi ya kubaka mtoto, lazima vijana waogoprKila la kheri, Mwenyezi Mungu akupe haja ya moyo wako.
Japo tuna vijana wa hovyo humu, wana kampeni yao ya KATAA NDOA...
Ni ka IST kale kweli?Kale ka IST alikokafanya guest itakuwa kananuka mavi.
Sawa. Mungu akusaidie upate hitaji la moyo wako, siko kwenye ndoa ila nimekosa baadhi ya sifa.Hello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume)
Sifa zangu;
Jinsia- mwanamke
Dini-mkristo
Umri-30+ yrs
Elimu-Degree moja
Mtoto-Mmoja 10 yrs
Ajira-Niko private sector
Ninayemuhitaji awe Mkristo;
32-40yrs
Awe na kazi halali
Asiwe kwenye ndoa kwa sasa
Awe muelewa na utayari wa kuingia kwenye uhusiano wa kuelekea ndoa.
Elimu ya chuo kikuu(itapendeza)
Nb:Siko Dar es salam niko mkoani.
Karibuni Pm au email appletofaa95@gmail.com
Cheers!
Yule tumesikia upande wake, kuna upande wa pili pia.Sasa kama mtu anakuacha unamfungulia kesi ya kubaka mtoto, lazima vijana waogopr
Ka IST angalia seat zake. Pia ile video aliyovaa magwanda angalia kwenye kioo.Ni ka IST kale kweli?
Kwa jinsi jamaa alivyowakilisha Ile story sidhani kama alifanya kile kitendo. Yaani ule Uzi utafanya watu wawaogope ma single mYule tumesikia upande wake, kuna upande wa pili pia.
Majibu si bado ya mtoto?
Kweli si kila mwanamke anafaa kuwa mke, na si kila mwanaume wanafaa kuwa mume.
Inamaaana hamuoni kabisa dronedrake Glenn Extrovert Mzee wa kupambania MLEVi Mmoja Carlos The Jackal Equation x Liverpool VPN
Kwamba hamuoni au😆
Mnitag kwenye huo uziKwa jinsi jamaa alivyowakilisha Ile story sidhani kama alifanya kile kitendo. Yaani ule Uzi utafanya watu wawaogope ma single m
Usinirudishe kwenye dhambi aisee.Ka IST angalia seat zake. Pia ile video aliyovaa magwanda angalia kwenye kioo.
Ngoja niusakeMnitag kwenye huo uzi
🤣🤣🤣🤣 Mwanamke tako bwanaUtakuwa una gundu hasa. Ni nadra sana kwa tangazo la mwanamke kutafuta mwenza likachukua masaa bila wachangiaji. Toka saa tano asubuhi watu wamelilia bati.
Anyways umeruka kipengele cha muhimu sana katika maelezo yako, hujasema kama una chura. Maana kama ni flat screen basi wewe ni 'mkuu' tu kama sisi.
Bila ya chura tubishane kuhusu mpira na kubet tu.
Ndiyo maana kuna Mahakama, pande mbili zinasikilizwa.Kwa jinsi jamaa alivyowakilisha Ile story sidhani kama alifanya kile kitendo. Yaani ule Uzi utafanya watu wawaogope ma single m
anitoe kwenye hiyo list hapo mara mojadronedrakeiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, uko wapi mwenyekiti unatafutwa humu
Tayari nenda unaweza kuwa na la kumahauri jamaaMnitag kwenye huo uzi
Mpaka nilihisi labda aliekuwa anamchapia jamaa ni askariNdiyo maana kuna Mahakama, pande mbili zinasikilizwa.
Sijamuelewa kabisa, kama hajafanya kitu. Alitakiwa aombe kuonana hata na Waziri wa Jinsia, angemsaidia sana.
Ni jambo zito, angelipeleka hata kwenye vyombo vya habari, likapaziwa sauti. Mtoto akawa chini ya uangalizi, wasije fanya ujinga. Maana ni wauaji Mama mtu na askari.
Haki huwa inachelewa, ila inapatikana.
Hatuna haja na kazi yako sijui elimu wala umeajiliwa wapi,,, kikubwa tu trako unalo? Hilo tu,,, ukiwa na trako njoo unishtue tuyajenge nipo nimekaa paleeHello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume)
Sifa zangu;
Jinsia- mwanamke
Dini-mkristo
Umri-30+ yrs
Elimu-Degree moja
Mtoto-Mmoja 10 yrs
Ajira-Niko private sector
Ninayemuhitaji awe Mkristo;
32-40yrs
Awe na kazi halali
Asiwe kwenye ndoa kwa sasa
Awe muelewa na utayari wa kuingia kwenye uhusiano wa kuelekea ndoa.
Elimu ya chuo kikuu(itapendeza)
Nb:Siko Dar es salam niko mkoani.
Karibuni Pm au email appletofaa95@gmail.com
Cheers!