Natafuta mwenza (mume)

Natafuta mwenza (mume)

Status
Not open for further replies.
Hello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume)

Sifa zangu;

Jinsia- mwanamke
Dini-mkristo
Umri-30+ yrs
Elimu-Degree moja
Mtoto-Mmoja 10 yrs
Ajira-Niko private sector

Ninayemuhitaji awe Mkristo;
32-40yrs
Awe na kazi halali
Asiwe kwenye ndoa kwa sasa
Awe muelewa na utayari wa kuingia kwenye uhusiano wa kuelekea ndoa.

Elimu ya chuo kikuu(itapendeza)

Nb:Siko Dar es salam niko mkoani.

Karibuni Pm au email appletofaa95@gmail.com

Cheers!
Asanteni kwa kuja thanks for coming... Coming... Coming!!! 😀 X3
 
Hello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume)

Sifa zangu;

Jinsia- mwanamke
Dini-mkristo
Umri-30+ yrs
Elimu-Degree moja
Mtoto-Mmoja 10 yrs
Ajira-Niko private sector

Ninayemuhitaji awe Mkristo;
32-40yrs
Awe na kazi halali
Asiwe kwenye ndoa kwa sasa
Awe muelewa na utayari wa kuingia kwenye uhusiano wa kuelekea ndoa.

Elimu ya chuo kikuu(itapendeza)

Nb:Siko Dar es salam niko mkoani.

Karibuni Pm au email appletofaa95@gmail.com

Cheers!

Ni PM tafadhali ingawa utakua mke wa 4,dini yangu ya Pentekoste inaruhusu wake wanne.
Upo tayari?
 
1. Siku hizi Dar nako ni mkoani.
Mambo yote Dom.
2. Ungeweka na kabila au una asili ya mkoa gani.
Mfano.
Mmachame,
Mmeru,
Mkurya,
Mmakonde, Mkinga na Mzaramo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom