Natafuta mwenza (mume)

Status
Not open for further replies.
Wanawake wao kwa wao kuoneana wivu si stori, tatizo ni kwa kijana wa kiume kumwonea wivu mwanamke anayetafuta mwenza / mume. Vijana wa kiume wanaongoza kuharibu nyuzi za wanawake wanaotafuta mahusiano JF.
 
Kazi mnayo... Unakua kama unatangaza kazi na bado utakuja kumtegemea huyo mwanaume!!! Hadi elimu na umri[emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] daah
 
Namna hii kazi unayo. Yaani jioni hii bado unaweka mashauzi! Heri ungemwendea aliyekumimba na kukuzalisha akuhifadhi. Wewe kibusara unatafuta hifadhi kama wanawake wa kichaga na kipare wafanyavyo wanapozeeka na kuwatumia hawara zao (kaka zao) kuiwaingiza mkenge chasaka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nailed it
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…