Natafuta mwenza (mwanamke)

Natafuta mwenza (mwanamke)

Hawa mama ntilie hapa mwenge na wale wasusi wengi hawana waume.
kazi na biashara sio issue kwangu, muhimu ni mapenzi nimwelewe na anielewe, tupendane tu inatosha, kwaiyo sijali kuwa ni msusi au anafanya nini.
 
Handsome la Kijiji cha JF kipengele cha Dini hujaweka au kwako sio tatizo🤣
 
f7bff488cf234d847cb7372f5c39d41d.jpg

Jf mwanga unapokuwa hafifu kwa mwanga unapokuwa mkali.
Kula chuma hicho Bwana Harusi.
 
Back
Top Bottom