Natafuta mwenza mwanamume

Watoto ni wa baba mmoja, sababu ya kushindwana ktk ndoa huwa sio moja na wala sio ya siku moja ndugu kama hujawahi ingia kwenye ndoa you better keep quiet
 
Vijana ambao hamjaoa, Shangai hilo ila muwe serious.
 
Walaah walaah walaah wameshisikia wakuu, Karibu mpaka ndani kwanza toa viatu kwa mguu.

Bila shaka wewe ni Mzanaki na unatafuta Mstaafu wa hivi karibuni atakaekufa na kukuachia mali zote kisha uzitumbue na vijana wa hovyo.

Ondoa shaka hapa umefika, Umenisikia😈 👹
 
Nimekosa kigezo kimoja tu, nina mke.
 
Mume nipo,ila nina watoto wanne,nimetengana na mke wangu.Vp vigezo vimekubalika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…