Natafuta mwenza mwanamume

Natafuta mwenza mwanamume

"nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana."

1)NINI CHANZO CHA KUSHINDWANA ,ULIACHWA AU WEWE ULIACHA KWA SABABU ZIPI?

2)DINI YAKO Ni ipi na KABILA LAKO NI LIPI??

3)WATOTO WAWILI NI WA BABA MMOJA AU KILA MMOJA NA BABA YAKE?
Watoto ni wa baba mmoja, sababu ya kushindwana ktk ndoa huwa sio moja na wala sio ya siku moja ndugu kama hujawahi ingia kwenye ndoa you better keep quiet
 
Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.

Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.

Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.

Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro mkurya, mjita!

Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).

Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.

Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Vijana ambao hamjaoa, Shangai hilo ila muwe serious.
 
Walaah walaah walaah wameshisikia wakuu, Karibu mpaka ndani kwanza toa viatu kwa mguu.

Bila shaka wewe ni Mzanaki na unatafuta Mstaafu wa hivi karibuni atakaekufa na kukuachia mali zote kisha uzitumbue na vijana wa hovyo.

Ondoa shaka hapa umefika, Umenisikia😈 👹
 
Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.

Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.

Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.

Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro mkurya, mjita!

Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).

Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.

Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Nimekosa kigezo kimoja tu, nina mke.
 
Mume nipo,ila nina watoto wanne,nimetengana na mke wangu.Vp vigezo vimekubalika?
 
Back
Top Bottom