Natafuta mwenza mwanamume

Achukue huu ushauri
 
Ninasifa za kuwa mmeo. Nipo Kahama Shinyanga
 
Wakurya na wajita sijui wanamabalaa gani mana katika kila post za kuyakataa makabila wao ni vinara tena kwa wanaume na wanawake
 
uko wapi kama mbeya 0764125128
 
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Daaah!naishiwa na Nguvu Mwana was mke MWENZAKO😍
 
Piga picha ukiwa umegeukia nyuma na sisi watu wa mikoani tukujue
 
Kama utaona inafaa tufanye kama babu zetu wa zamani,,,,ikiwa na maana walikuwa na mke zaidi ya mmoja.
KARIBU ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
 
Kila la kheri.
Mwenyezi Mungu akupe hitaji lako
 
Naahidi kukusaidia upate mwanaume,nimesoma maelezo yako nimekuonea huruma,je una masharti kuhusu wanaume ambao ni machotara,au waarabu,wahindi,wazungu?
 
Natamani umpate anayefaa ilmradi nawe uwe unafaa. Kwanini hutaki kuolewa na mkurya au mjita?
 
Mungu akufanikishie
 
Hii ni December 2024 Kama hujampata nitafute umri wangu ni 54
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…