Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Punguza kigezo cha umri tuishi pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee kama huna mpango wa kuongeza watoto utanifaa sana. Sie itakuwa kutalii tuu leo dubai kesho durban na kugegedana tuu.Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro mkurya, mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
😂🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣🤣😂😂marehemu Mme wako alizikwa wapi?
😂🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣🤣😂😂marehemu Mme wako alizikwa wapi?
Hii ndio shida ya akili kuhamia matakoni..Useme Mume wako alizikwa wapi , ulete na cheti cha kifo ili mtu akiamua akustiri Tu miaka 35 k inakua hata Ute umeshaisha na ladha inakua kama ya tango anayekustiri inabidi ajitoe kwelikweli
We mama wawili ni mzuri na ukapate hitaji la moyo wako.(chocolate colour
Enhe account inabalance shingap mshangazi Ebu tuanzie hapo.Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro mkurya, mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
wewe unamingapi mbona unasema wenzako!
Kashfa kwa wanawake haikubaliki, je mzazi wako wa kike naye ana hali hii uliyo define kwa mtoa mada ?Useme Mume wako alizikwa wapi , ulete na cheti cha kifo ili mtu akiamua akustiri Tu miaka 35 k inakua hata Ute umeshaisha na ladha inakua kama ya tango anayekustiri inabidi ajitoe kwelikweli