Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee!Nilikuwa na miaka 35 wakati TANU inaanzishwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila humu..dada umekosea njia nakushauri piga goti muombe Mungu mume anatoka Kwa Bwana Sio humuJFmarehemu Mme wako alizikwa wapi?
Hao watoto ni wa baba mmoja au tofauti?Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili,
Ukweli sio kashfa, tatizo wengi hamtupendi kusikia ukweli we leave fake , we act fake ndio shida huanzia hapo Mimi nasema ukweli kwa lugha rahisi ili ieleweke, unaposema Unatafuta mwenza na Una watoto wawili unatakiwa ueleze historia fupi ya mahusiano yako uliolewa ndoa ikishindikana, au Mume wako alifariki hivo Una ugonjwa wa upweke , ugonjwa huo upo na unatibiwa na jinsia me au ke mnapokutana na kuungana , simple like that , hao .mama na dada zangu nao ni wanawake hawana exceptional duniani zaidi au wao ni malaika wanawake wote ni walewale huo ndio ukweli hata dada zako na shnangazi zako wanakua identified to those features , ndio maana mijadala ya single mother ikianza watu hujificha na kutokusema ukweli wa wazi ili hata hao nao wajifunze wanatakiwa wawe namna gani ili maisha yaende mbeleKashfa kwa wanawake haikubaliki, je mzazi wako wa kike naye ana hali hii uliyo define kwa mtoa mada ?
Hata ukipata ulyemzidi Umri Na ana mapenz ya dhatiiii mkubalie nakushaur usiangalie umriMimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro mkurya, mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Wala hajakosea njia sema hajafafanua vizuri yeye kama mama wa watoto 2, mume au mzazi mwenzake alifariki au Yuko wapi ili anayejitokeza afahamu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila humu..dada umekosea njia nakushauri piga goti muombe Mungu mume anatoka Kwa Bwana Sio humuJF
DADA UMEPATA NAOMBA UJE INBOX TUYAJENGE HATA MIMI NIKO SINGLEMimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro mkurya, mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Sababu za kifo, cheti cha mmewe,, nakuunga mkono. Ila kukashifu maumbile ya mtu sijui kutanuka au blah blah, inatweza utu wake mtoa mada na kwa hilo nakukatalia.Ukweli sio kashfa, tatizo wengi hamtupendi kusikia ukweli we leave fake , we act fake ndio shida huanzia hapo Mimi nasema ukweli kwa lugha rahisi ili ieleweke, unaposema Unatafuta mwenza na Una watoto wawili unatakiwa ueleze historia fupi ya mahusiano yako uliolewa ndoa ikishindikana, au Mume wako alifariki hivo Una ugonjwa wa upweke , ugonjwa huo upo na unatibiwa na jinsia me au ke mnapokutana na kuungana , simple like that , hao .mama na dada zangu nao ni wanawake hawana exceptional duniani zaidi au wao ni malaika wanawake wote ni walewale huo ndio ukweli hata dada zako na shnangazi zako wanakua identified to those features , ndio maana mijadala ya single mother ikianza watu hujificha na kutokusema ukweli wa wazi ili hata hao nao wajifunze wanatakiwa wawe namna gani ili maisha yaende mbele
Mungu alishampatia mume. Huyo alie zaa nae ndo mme wake. Hapa anatafuta mzinifu mwenzake. Msipake matope mafuta. Uzae na mwanaume watoto wawili Kisha umuache utafute mwingine at 35/40? Labda awe amekufa tofauti na hapo,,,,hakuna.! Kwa umri huo wanaume wengi Wana watoto pia. Ukachanganye wa kwako na mwanaume wako😂😂 Kisha ulee! SI Bora ubaki na ndugu yako huyo angalau watoto watakuwa wa Baba mmoja?🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila humu..dada umekosea njia nakushauri piga goti muombe Mungu mume anatoka Kwa Bwana Sio humuJF
Mme wake ni yule anae jaribu kumtoroka!Binti mdogo kabisa,hakika utapata mume wako na mtaishi vyema.ila tu uwe mkweli
Mkuu binti wa miaka 15 hadi 20 ambaye chuchu zimesimama ana ladha tofauti Sana na mwanamke aliyekwishanyonyesha na hata Yale mnasema mabwawa sababu kubwa ni mwanamke keshatumika Sana anakua usedSababu za kifo, cheti cha mmewe,, nakuunga mkono. Ila kukashifu maumbile ya mtu sijui kutanuka au blah blah, inatweza utu wake mtoa mada na kwa hilo nakukatalia.
Mkuu,Useme Mume wako alizikwa wapi , ulete na cheti cha kifo ili mtu akiamua akustiri Tu miaka 35 k inakua hata Ute umeshaisha na ladha inakua kama ya tango anayekustiri inabidi ajitoe kwelikweli
Uke wenza utaweza?Hayawezi kubadilika tafadhali
Hongera kuna Ndugu yangu ana vigezo hivyo , njoo inbox nikuunge nae mkaishimaisha