Natafuta Mwenza (Mwanaume)

Natafuta Mwenza (Mwanaume)

Dini na umri vimenikosesha mke dah!
Muislam halafu nna 33 yrs
 
Me 34-37 ambaye hajaoa? Labda padri.
wapo wengi sana,,, yaaani sana tuu..........unapoona mabinti zetu wanazalia nyumbani....jua kuna libazziii lishayavuruga maji...chovya unase...
 
Jokajeusi amekataza kuoa mwanamke ambae sio bikra
Na amesistiza mkaolewe na aliowatoa bikra
 
Naitwa secy nahitaji mwenza sifa zangu
Umri: 34
Dini: Christian
Kazi : mwajiriwa ( Government)
Elimu😀egree
Sina mtoto na wala sijawahi kuolewa

Naihitaji mwenza mwenye sifa zifuatazo:
Umri: 34-47
Dini: Mkristo
Kazi: awe amejiajiri au kuajiriwa

Kama unajijua mume wa mtu usinitumie sms asante.

Kwa age hiyo dada, we kubali tuu show upate mtoto kwanza, then uangalie mengine km ni mume wa mtu au la. Kazi si unayo?? Kutunza unaweza, we tafuta mtoto kwanza
 
Dah...yaani hapo Nina sifa moja tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom