Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Jua linaelekea kuzamaYaani huyu bado ana miaka 10 tu ya kuchakatana. Maana akifikisha 45 ni menopause ambayo huwa inasitisha hamu na uwezo wa k kuchakatana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jua linaelekea kuzamaYaani huyu bado ana miaka 10 tu ya kuchakatana. Maana akifikisha 45 ni menopause ambayo huwa inasitisha hamu na uwezo wa k kuchakatana.
wapo wengi sana,,, yaaani sana tuu..........unapoona mabinti zetu wanazalia nyumbani....jua kuna libazziii lishayavuruga maji...chovya unase...Me 34-37 ambaye hajaoa? Labda padri.
Naitwa secy nahitaji mwenza sifa zangu
Umri: 34
Dini: Christian
Kazi : mwajiriwa ( Government)
Elimu😀egree
Sina mtoto na wala sijawahi kuolewa
Naihitaji mwenza mwenye sifa zifuatazo:
Umri: 34-47
Dini: Mkristo
Kazi: awe amejiajiri au kuajiriwa
Kama unajijua mume wa mtu usinitumie sms asante.
Unaonekana mtu jeuri/mkali sana kiasi kwamba hata atayekuoa kazi kwake.