mzalendo namba moja
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 537
- 837
Labda kila mtu anayo namna yake ya kukutana na mwenzie, kwani lazima iwe uniform? Swali ni, je ni sababu gani ili(ina)yokufanya utake ingia kwenye mahusiano hasa haya ya ndoa? je mtazamo wako kuhusu ndoa ni nini? ( labda ndoa ni ndoana au ndoa ni raha tupu au ndoa ni kupeana burudani za kingono tu au....), umekua kiasi gani kimwili na kiroho?.
Je umejipima kwamba hauongozwi na mihemko na tamaa za mwili? Je dini ya huyo binti au background yake sio miongoni mwa vipaumbele vyako? kama sio, kwa nini?
Je umejipima kwamba hauongozwi na mihemko na tamaa za mwili? Je dini ya huyo binti au background yake sio miongoni mwa vipaumbele vyako? kama sio, kwa nini?