Natafuta mwenza wa maisha serious

Natafuta mwenza wa maisha serious

Mzgo wote huo kuuweka kwa bodaboda n dhamb na matumz mabaya ya churA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usafiri Mkuu Sasa lembebezi Hana hata kigari.....Ndo hivyo tunawai Wai...kwa bodaboda
 
Hapo kwenye NB mie hoi

Tatizo ni nini kwa aliye shabiki wa mpira?
He is in the losing team; he suspects pengine his future yeye atakuwa kwenye winning side. Mianaume mingine buwanaaa!???
 
Kwa staili hii ndio maana vijana wengi especially mabinti wanakosa wanaume serious sababu ya kuamini kuwa mtu anaemtaka hajafika bado au atakuja na ishara fulani.

Wewe mtafute mtu anaekuvutia na ambaye utaweza mpenda. Na kwa mwanamke usihangaike na swala la kupenda maana hiyo sio kazi yenu..... Ukishaona hauwezi kuheshimu mwanaume jua basi maisha ya ndoa kwako utasikia tu kwenye radio.

Mwanamke anaejikweza au anajiona mwamba na kujilinganisha na mwanaume huyo hata iwaje hatoweza toboa mahusiano atabakia kujihusisha na wanaume tofauti tofauti na mwisho kabisa ni kupigwa mimba na kulea watoto mwenyewe.
Understood

cc: FA
 
Ni kucomplicate mambo. Kanuni ipo very simple. Hata kama ukiolewa na mwanaume wa aina gani, maagizo ya MUNGU yanakuelekeza mwanamke kutii na kuheshimu uwepo wa mwanaume wako.

Mwanaume ambaye hana mwenendo mzuri kama ulevi, uasherati, dhuruma, manyanyaso, lugha kali na chafu kwako, asie na huruma na wewe pale unapokwama na wazi wazi akijua unateseka na uwezo wa kukusaidia anao ila anaamua kuchagua kutokukusaidia kusudi kabisa ili kukutesa hisia na kimwili. Haya yote hayatakiwi kuvumiliwa bali unatakiwa kuyaepuka na kutemana nae na kutafuta yule ataekupenda na kukupa nafasi ya kumheshimu.

Ila shida wadada siku hizi hamuangalii zile vigezo muhimu za mwanaume wakati wa kuanza maisha ya mahusiano mnatazama pesa hii ndio inawapoteza malengo na matokeo yake inakufanya ukosee kujua mtu sahihi kwako.

Unakuta mwingine ana nyanyaswa ila atavumilia sababu anapata mahitaji yake. Huu ni upopoma.
Wale wanaume wanaotukana wadada kwamba wana ^upopoma^ tuwaweke kundi gani!???
 
Umeongea point nimekupa like
Kila siku nawaambia hawa vijana mwenza wa maisha hatafutwi never ever
Hawaelewi
Muombe Mungu atawakutanisha wala humtongoz hata kidogo
Hapa ungetoa mfano. Mimi nitajuaje kama ndio huyu nimekutanishwa nae na tutaanzia wapi. Si ni lazima nimtamkie nampenda, akikataa kabisa natafuta mwingine mpaka atakayekubali. Au from nowhere atasema nimuoe
 
Mkuu hawa wakutafuta hivi utachunwa wamejua mpaka kufungua acc JF labda kama ni kutoa wazungu na kuachana mwana mke wa kuoa utampata mitandaoni ni kujidanganya tu labda kama ilisha wah kutokea watupe ushuhuda na watoto wakazaa kabisa
 
Wakike akiwa anatafuta mr mnitagi ndugu zangu







Ops mungu akupe hitaji lako mr
 
Mwenza humtafuti... Bali unakutanishwa nae via maombi.
Maombi yakukutanishe na mpenzi hebu acha kudanganya, wachumba wanatafutwa, kwa wasichana mara nyingi huolewa na watu wanaowafahamu mtaani, makazini au sehemu za kazi au marafiki wa watu wanaowafahamu hakuna maombi hapo
 
Back
Top Bottom