Natafuta mwenza wa maisha serious

Mzgo wote huo kuuweka kwa bodaboda n dhamb na matumz mabaya ya churA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usafiri Mkuu Sasa lembebezi Hana hata kigari.....Ndo hivyo tunawai Wai...kwa bodaboda
 
Hapo kwenye NB mie hoi

Tatizo ni nini kwa aliye shabiki wa mpira?
He is in the losing team; he suspects pengine his future yeye atakuwa kwenye winning side. Mianaume mingine buwanaaa!???
 
Understood

cc: FA
 
Wale wanaume wanaotukana wadada kwamba wana ^upopoma^ tuwaweke kundi gani!???
 
Umeongea point nimekupa like
Kila siku nawaambia hawa vijana mwenza wa maisha hatafutwi never ever
Hawaelewi
Muombe Mungu atawakutanisha wala humtongoz hata kidogo
Hapa ungetoa mfano. Mimi nitajuaje kama ndio huyu nimekutanishwa nae na tutaanzia wapi. Si ni lazima nimtamkie nampenda, akikataa kabisa natafuta mwingine mpaka atakayekubali. Au from nowhere atasema nimuoe
 
Mkuu hawa wakutafuta hivi utachunwa wamejua mpaka kufungua acc JF labda kama ni kutoa wazungu na kuachana mwana mke wa kuoa utampata mitandaoni ni kujidanganya tu labda kama ilisha wah kutokea watupe ushuhuda na watoto wakazaa kabisa
 
Wakike akiwa anatafuta mr mnitagi ndugu zangu







Ops mungu akupe hitaji lako mr
 
Mwenza humtafuti... Bali unakutanishwa nae via maombi.
Maombi yakukutanishe na mpenzi hebu acha kudanganya, wachumba wanatafutwa, kwa wasichana mara nyingi huolewa na watu wanaowafahamu mtaani, makazini au sehemu za kazi au marafiki wa watu wanaowafahamu hakuna maombi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…