Natafuta mwenza wa maisha

Natafuta mwenza wa maisha

Mi kijana umri miaka 33. Naishi Moshi..natafuta mwenza wa maisha ambae atakua mke tuwe na familia mungu akijalia. Mwanamke ambae mwenye uhitaji wa mwenza wa maisha alie serious tuanzishe mahusiano yenye malengo sio wa kupotezeana muda anicheki Inbobo tuyajenge.
Allah ajalie umpate mke mwema
 
Mungu akupe haja ya moyo wako, kumbuka kuandika Mungu na siyo mungu.
 
Back
Top Bottom