Allah ajalie umpate mke mwemaMi kijana umri miaka 33. Naishi Moshi..natafuta mwenza wa maisha ambae atakua mke tuwe na familia mungu akijalia. Mwanamke ambae mwenye uhitaji wa mwenza wa maisha alie serious tuanzishe mahusiano yenye malengo sio wa kupotezeana muda anicheki Inbobo tuyajenge.