Natafuta Mwenza wa maisha

Natafuta Mwenza wa maisha

Heker

Member
Joined
Jun 22, 2021
Posts
19
Reaction score
14
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38. Naandika kutafuta mwenza wa maisha wa jinsia ya kike.

Sifa zangu
Miaka 38
Muajiriwa
Mkristo
Msukuma.

Sifa za mwanamke nimtakae.
Umri 27-40
Mkristo, Kama siyo awe tayari kubadili dini.
Mwenye shughuli ya kumuingizia kipato.
Kabila lolote kasoro watu wa singida na kondoa.
Mwenye nia dhabiti ya kuingia kwenye ndoa.

Kwa aliye tayari karibu pm tuyajenge.
 
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38. Naandika kutafuta mwenza wa maisha wa jinsia ya like.

Sifa zangu
Miaka 38
Muajiriwa
Mkristo

Mkuu watu wa Singida na Kondoa unawatenga kabisa[emoji23][emoji23] tatizo nini
 
Nimenyea kisimani mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38. Naandika kutafuta mwenza wa maisha wa jinsia ya kike.

Sifa zangu
Miaka 38
Muajiriwa
Mkristo
Msukuma.

Sifa za mwanamke nimtakae.
Umri 27-40
Mkristo, Kama siyo awe tayari kubadili dini.
Mwenye shughuli ya kumuingizia kipato.
Kabila lolote kasoro watu wa singida na kondoa.
Mwenye nia dhabiti ya kuingia kwenye ndoa.

Kwa aliye tayari karibu pm tuyajenge.
Kwani Singida na Kondoa wana shida gani "bwana harusi" mtarajiwa?Nataka nijifunze.
 
Wa singida na kondoa inasemekana ni SIO WACHOYO YAAN NI MAMA HURUMA .....TAFSIDA
 
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38. Naandika kutafuta mwenza wa maisha wa jinsia ya kike.

Sifa zangu
Miaka 38
Muajiriwa
Mkristo
Msukuma.

Sifa za mwanamke nimtakae.
Umri 27-40
Mkristo, Kama siyo awe tayari kubadili dini.
Mwenye shughuli ya kumuingizia kipato.
Kabila lolote kasoro watu wa singida na kondoa.
Mwenye nia dhabiti ya kuingia kwenye ndoa.

Kwa aliye tayari karibu pm tuyajenge.
Hii
 
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38. Naandika kutafuta mwenza wa maisha wa jinsia ya kike.

Sifa zangu
Miaka 38
Muajiriwa
Mkristo
Msukuma.

Sifa za mwanamke nimtakae.
Umri 27-40
Mkristo, Kama siyo awe tayari kubadili dini.
Mwenye shughuli ya kumuingizia kipato.
Kabila lolote kasoro watu wa singida na kondoa.
Mwenye nia dhabiti ya kuingia kwenye ndoa.

Kwa aliye tayari karibu pm tuyajenge
 
Back
Top Bottom