Heker
Member
- Jun 22, 2021
- 19
- 14
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38. Naandika kutafuta mwenza wa maisha wa jinsia ya kike.
Sifa zangu
Miaka 38
Muajiriwa
Mkristo
Msukuma.
Sifa za mwanamke nimtakae.
Umri 27-40
Mkristo, Kama siyo awe tayari kubadili dini.
Mwenye shughuli ya kumuingizia kipato.
Kabila lolote kasoro watu wa singida na kondoa.
Mwenye nia dhabiti ya kuingia kwenye ndoa.
Kwa aliye tayari karibu pm tuyajenge.