Natafuta mwenza

Natafuta mwenza

i tek zem az ndege wajanja....
hapa ofisini bosi amekwenda likizo, nacover nafasi heheh watanikoma aisee! rule no. 1 hawa jinsia ya husninyo na lizzy lazima wavae vimini kazini adhawaizi mshahara nakata 20%
 
niombe razi japo mimi basi switihati, mwenzio lile jina la domo zege limenikosesha mpaka apetaiti ya kupiga msuwaki. hao kina hashycool unaweza ukaendelea kuwaita tu domo zege haina kwere kabisa yaani.

Haya mwimbishe mtu nione kama sio zege nafuta kauli yangu kukuhusu!
 
hapa ofisini bosi amekwenda likizo, nacover nafasi heheh watanikoma aisee! rule no. 1 hawa jinsia ya husninyo na lizzy lazima wavae vimini kazini adhawaizi mshahara nakata 20%

Ona sasa huwezi kuwaimbisha wakutingie afta awaz unataka kuwachakachua kwa macho ofisini!
 
Nini wewe?Hutaki sasa?

ngoja nifanye hii kitu:smash::smash: then nianze kwa SLP :A S-coffee: na hivi 😛hone: Ikinishinda kabisa basi nirudi kwenye mpango mzima :bange:
 
hapa ofisini bosi amekwenda likizo, nacover nafasi heheh watanikoma aisee! rule no. 1 hawa jinsia ya husninyo na lizzy lazima wavae vimini kazini adhawaizi mshahara nakata 20%

naomba kazi ya hyumani lisosi nasikia huko no need kutongoza
 
Haya mwimbishe mtu nione kama sio zege nafuta kauli yangu kukuhusu!
wimbo gani sasa? twanga pepeta au kwaya za jon komba? wewe bana kama hauombi razi mimi sikugongei senksi tena. halaf nalog out kushinikiza msimamo wangu. wale wote ambao wana msimamo kama wangu naomba tulog out.
 
pia anaweza kukwambia ukitaka kumpata husninyo au lizzy basi uhifadhi na kumemoraiz dictionary na index yake. khaaaa! JF bana, ni zaidi ya mtandao.

hayo mbona madogo.
Bila kutuletea ushuzi wa jogoo mjue husninyo na lizzy hawapatikani
 
yote hayo yakwetu? sasa mbona huwa mnalala vifuani mwetu na kujisikia rahaaaa!!
kwa hiyo huwa mnalal kwenye vifua vya wakoloni?
kama wewe ni mod cheki unambie nimemtumia nani PM sasa hivi!

Hahaha..tunataka joto tu!Hata la mkoloni linafaa!Nimeona uminitumia mimi kunipiga biti eti nisipobadili mwelekeo wa sredi unaniombea ban!
 
Ona sasa huwezi kuwaimbisha wakutingie afta awaz unataka kuwachakachua kwa macho ofisini!
hapo hamna kuimbishwa bana. ni amri tu . bosi klorokwini akisema leo ukuje kazini bila kufuli inabidi ukubali tu.
 
ngoja nifanye hii kitu:smash::smash: then nianze kwa SLP :A S-coffee: na hivi 😛hone: Ikinishinda kabisa basi nirudi kwenye mpango mzima :bange:
Hahaha!Ukishindwa vyote ushachoka unaliangusha!Ntaelewa!
 
hapa ofisini bosi amekwenda likizo, nacover nafasi heheh watanikoma aisee! rule no. 1 hawa jinsia ya husninyo na lizzy lazima wavae vimini kazini adhawaizi mshahara nakata 20%

tutavaa tu maana miguu inaruhusu.
 
naomba kazi ya hyumani lisosi nasikia huko no need kutongoza
hehehe kamanda , bosi akiludi hii ofisi nitakuwa tayari nimeigeuza night club. acha nilog out bana. waifu anataka kupelekwa shopping kununua ka wigi.
 
wimbo gani sasa? twanga pepeta au kwaya za jon komba? wewe bana kama hauombi razi mimi sikugongei senksi tena. halaf nalog out kushinikiza msimamo wangu. wale wote ambao wana msimamo kama wangu naomba tulog out.

Huna jeuri hiyo!Usijali kesho ntaanzisha sredi ya kuwafagilia..na msamaha ntaomba!Au unaonaje?
 
Back
Top Bottom