Natafuta mwenza

Natafuta mwenza

chetuntu

R I P
Joined
Jan 10, 2011
Posts
949
Reaction score
111
Wanajamvi natafuta mwenza, me ni mama wa mtoto mmoja. Kutokana na sababu zisizozuilika nimetengana na mwenzangu. Nimekuwa mpweke kwa muda. Naomba msinibeze . Nawasilisha.
 
hapa utapata tu we tulia soon atajitokeza ila hujaweka contact zako!
 
Wanajamvi natafuta mwenza, me ni mama wa mtoto mmoja. Kutokana na sababu zisizozuilika nimetengana na mwenzangu. Nimekuwa mpweke kwa muda. Naomba msinibeze . Nawasilisha.
atakayekubeza ni PM nitadeal nae.....:angry:
 
niko hapa mama., nimwaie linamba la masimu zako, mimi professionally ni mume wa wajane!!:smile-big:
 
Nyie wanaume vipi? Si muanze nyie kumPm. Kwani pm zenu zaingia tu kutoka no?
 
Mwenyewe nilitaka kuuliza!Wanataka watongozwe badala ya kutongoza wao!

hapo chacha. Mi muda mrefu nawasoma hata posts za nyuma.
Aibu na uoga hadi kwenye keyboard!
 
hapo chacha. Mi muda mrefu nawasoma hata posts za nyuma.
Aibu na uoga hadi kwenye keyboard!

Husninyo watu huwa hawapendi ku PM wakashushuliwa ama wasijibiwe
at least yeye aki PM inakuwa rahisi kujibiwa maana inaonekana nia ipo na hali ya kupigwa kibutt si sana
 
Husninyo watu huwa hawapendi ku PM wakashushuliwa ama wasijibiwe
at least yeye aki PM inakuwa rahisi kujibiwa maana inaonekana nia ipo na hali ya kupigwa kibutt si sana

hivyoo!
Mbona mimi sijawahi kushushuliwa wala kushushua.
Heeee! Namimi ngoja niache yasije yakanikuta.
 
Back
Top Bottom