Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuombea vumilia utimize lengo lakoHabarini za jioni wapendwa,
Natafuta mume wa kuishi naye miaka kuanzia 35-45 mwenye kufanya kazi familia isilale njaa au mfanyabiashara staki utani wala kejeli.
Asante
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Acha fujo. Sisi ndiyo ma - baby tunaoaminika.Naona unatafuta wazee..kila la heri!
Njoo ule [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu mwandiko unaonyesha we ni mkali na jeuri sana!!!
Samahani lakini
Navuta picha unamkaribisha chakula mpenzi wako mpya CHAKULA TAYARI!!!!!!!
Hujajibu swali la member......!Mie sitafuti
Wewe huwezi lisha familia??Habarini za jioni wapendwa,
Natafuta mume wa kuishi naye miaka kuanzia 35-45 mwenye kufanya kazi familia isilale njaa au mfanyabiashara staki utani wala kejeli.
Asante
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Watamfata wengi ila lengo wachape wakimbie,Wachumba mkaribie pm jamani
Yr vry ryt .....Watamfata wengi ila lengo wachape wakimbie,
Nilichogundua wengi wanaotafuta wachumba huku hasa wadada ni warembo wenye shepu zao,
Hicho tu hufanya wanaume kutoamini kuwa kakosa maeneo alipo na kuhisi labda ni malaya au anachagua sana pengine anataka wenye magari,
Lakini wadada wapo serious na wapo simpo sana uwoga wetu tu wa kutishwa na uzuri na shepu.
Vp umepataNawashukuru sana
Kweli eeh mbona kuna jamaa aliwaponda eti hawana muonekanoWatamfata wengi ila lengo wachape wakimbie,