Natafuta mwenza

Natafuta mwenza

Mkuu vp umepata?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Habarini za jioni wapendwa,

Natafuta mume wa kuishi naye miaka kuanzia 35-45 mwenye kufanya kazi familia isilale njaa au mfanyabiashara staki utani wala kejeli.

Asante

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Nakuombea vumilia utimize lengo lako

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huu mwandiko unaonyesha we ni mkali na jeuri sana!!!
Samahani lakini
Navuta picha unamkaribisha chakula mpenzi wako mpya CHAKULA TAYARI!!!!!!!
Njoo ule [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
ukikosa nijulishe mimi,nikuchukue ila mahariisizidi laki moja na nusu baby
 
Habarini za jioni wapendwa,

Natafuta mume wa kuishi naye miaka kuanzia 35-45 mwenye kufanya kazi familia isilale njaa au mfanyabiashara staki utani wala kejeli.

Asante

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Wewe huwezi lisha familia??
 
Wachumba mkaribie pm jamani
Watamfata wengi ila lengo wachape wakimbie,
Nilichogundua wengi wanaotafuta wachumba huku hasa wadada ni warembo wenye shepu zao,
Hicho tu hufanya wanaume kutoamini kuwa kakosa maeneo alipo na kuhisi labda ni malaya au anachagua sana pengine anataka wenye magari,
Lakini wadada wapo serious na wapo simpo sana uwoga wetu tu wa kutishwa na uzuri na shepu.
 
Yr vry ryt .....
 
Kweli eeh mbona kuna jamaa aliwaponda eti hawana muonekano
 
Back
Top Bottom