Natafuta mwenza

Lilylome

Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
54
Reaction score
58
Nina miaka 25, ni mwajiriwa.

Nahitaji mume awe very serious akiwa mkristo itapendeza nahitaji ndoa

Akiwa mkoa wowote ama nchi yoyote ni sawa awe mcha Mungu na mwenye hofu ya mungu
Umri wake uwe 35 kushuka chini mpka 28
 
Hebu picha yako naweza kushawishika
 
wacha kutetemeka kama uliepasukiwa na ndom.....tulia andika vizuri if you are siriazi.....utampata wa kufanana na wewe....
khila la kheri bibie.....
 
dah nimeikosa hii ....
Miaka 27 na miezi 10....😢

wanaJF mniombee tafadhali....
 
wacha kutetemeka kama uliepasukiwa na ndom.....tulia andika vizuri if you are siriazi.....utampata wa kufanana na wewe....
khila la kheri bibie.....
Sio kosa lako ni kwa walokufunza namna ya kuzungumza Tena mbele ya umma
 
, Nina miaka 25 Nimwajiliwa naita mume awe very serious akiwa mkristo itapendeza naiji ndoa

Akiwa mkoa wowote ama nchi yoyote ni sawa awe mcha mungu na mwenye hofu ya mungu
Umri wake uwe 35 kushuka chini mpka 28
www.lilylome@gmail.com
Kuna watu wanazingua sana humu, wasikukatishe tamaa.
 
dah nimeikosa hii ....
Miaka 27 na miezi 10....[emoji22]

wanaJF mniombee tafadhali....
Hahaaaa nimecheka kwel [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Naomba nikanushe hapa umri sio kikwazo kikubwaaa Bari ni upana wa fikra tu
 
Sio kosa lako ni kwa walokufunza namna ya kuzungumza Tena mbele ya umma
narudia hivi wacha kutetemeka ili usomeke vema.......nimeajiliwa ndio kitu gani? ujuaji wako utaishiwa vijana kujifunza kulenga shabaha....unaachwa na matobo kibao.....
 
We endela na mishe zako kuna wenye 30 32 35 37 bado hawajafanikiwa ndo tunahangaika nao huku we bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…