Natafuta mwenza

Hii ulisoma wapi? Mwanaume pesa. Mwanume usipokuwa na pesa hata uwe handsome namna gani ni bure. Uzoefu wangu unaonyesha wanaume wanaitwa ma-handsome kama hawana fedha basi ni shurti wakubali ''kuchuliwa'' na ma-ugly women wenye fedha. Kwa kifupi hata ukiwa mwanume handsome huwezi kuwa na choice hivyo itabidi uchukuwe ''at it is basis''. Na mapenzi ya aina hii hayadumu.
 
Wee utakua mweupe bila shaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo iko hivo japo mimi maji ya kunde tu.

Weupe ni Gold........huna pesa ila wanashoboka...
 
Welcome to jungle [emoji2]
 
Unatafuta mwenza au mume kuwa specific mkuuu [emoji90]
 
Jinga lingine hili [emoji23][emoji23]
 
Kuna ambao washawahi kukutana humu na wakajenga hizo familia?... kama wapo mjitokeze mtoe experience.
 
Ukofu
Haujibu pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…