Natafuta mwenza

Natafuta mwenza

Demu yeyote mkali anatamani kutoka na mwanaume mweupe kwa ajili ya mauzo aonekane wa kiwango cha juu.

Ukiwa mwanaume mweusi ili uongozane na demu mkali sharti mfukoni uwe vizuri.

Lakini kwa mwanaume mweupe hata kama hana kitu mfukoni mwanamke yupo tayari amgharamikie ili mradi watoke out tu.
Hii ulisoma wapi? Mwanaume pesa. Mwanume usipokuwa na pesa hata uwe handsome namna gani ni bure. Uzoefu wangu unaonyesha wanaume wanaitwa ma-handsome kama hawana fedha basi ni shurti wakubali ''kuchuliwa'' na ma-ugly women wenye fedha. Kwa kifupi hata ukiwa mwanume handsome huwezi kuwa na choice hivyo itabidi uchukuwe ''at it is basis''. Na mapenzi ya aina hii hayadumu.
 
Demu yeyote mkali anatamani kutoka na mwanaume mweupe kwa ajili ya mauzo aonekane wa kiwango cha juu.

Ukiwa mwanaume mweusi ili uongozane na demu mkali sharti mfukoni uwe vizuri.

Lakini kwa mwanaume mweupe hata kama hana kitu mfukoni mwanamke yupo tayari amgharamikie ili mradi watoke out tu.
Wee utakua mweupe bila shaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu yeyote mkali anatamani kutoka na mwanaume mweupe kwa ajili ya mauzo aonekane wa kiwango cha juu.

Ukiwa mwanaume mweusi ili uongozane na demu mkali sharti mfukoni uwe vizuri.

Lakini kwa mwanaume mweupe hata kama hana kitu mfukoni mwanamke yupo tayari amgharamikie ili mradi watoke out tu.
Ndiyo iko hivo japo mimi maji ya kunde tu.

Weupe ni Gold........huna pesa ila wanashoboka...
 
Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.

Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.

~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.

~ Awe na kazi.

~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.
Welcome to jungle [emoji2]
 
Unatafuta mwenza au mume kuwa specific mkuuu [emoji90]
 
Wanaume weupe tuna bei ghali sana ndo maana wanawake wengi wanatuogopa.

Hao weusi ni wa bei chee ndo maana ni rahisi kuwapata.

Wanaume weupe tunaringa kwasababu kila demu tunayemtaka tunampata kirahisi tofauti na black hadi awe na chenji ndo ampate mwanamke.

Pia wanawake wanatuogopa kwasababu hatukawii ku cheat kwakuwa tunamendewa na mademu wakali.
Jinga lingine hili [emoji23][emoji23]
 
Kuna ambao washawahi kukutana humu na wakajenga hizo familia?... kama wapo mjitokeze mtoe experience.
 
Ukofu
Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.

Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.

~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.

~ Awe na kazi.

~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.
Haujibu pm
 
Back
Top Bottom