Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ulisoma wapi? Mwanaume pesa. Mwanume usipokuwa na pesa hata uwe handsome namna gani ni bure. Uzoefu wangu unaonyesha wanaume wanaitwa ma-handsome kama hawana fedha basi ni shurti wakubali ''kuchuliwa'' na ma-ugly women wenye fedha. Kwa kifupi hata ukiwa mwanume handsome huwezi kuwa na choice hivyo itabidi uchukuwe ''at it is basis''. Na mapenzi ya aina hii hayadumu.Demu yeyote mkali anatamani kutoka na mwanaume mweupe kwa ajili ya mauzo aonekane wa kiwango cha juu.
Ukiwa mwanaume mweusi ili uongozane na demu mkali sharti mfukoni uwe vizuri.
Lakini kwa mwanaume mweupe hata kama hana kitu mfukoni mwanamke yupo tayari amgharamikie ili mradi watoke out tu.
Wee utakua mweupe bila shaka.Demu yeyote mkali anatamani kutoka na mwanaume mweupe kwa ajili ya mauzo aonekane wa kiwango cha juu.
Ukiwa mwanaume mweusi ili uongozane na demu mkali sharti mfukoni uwe vizuri.
Lakini kwa mwanaume mweupe hata kama hana kitu mfukoni mwanamke yupo tayari amgharamikie ili mradi watoke out tu.
Ndiyo mkuu.
HongeraNdiyo mkuu.
Ndiyo iko hivo japo mimi maji ya kunde tu.Demu yeyote mkali anatamani kutoka na mwanaume mweupe kwa ajili ya mauzo aonekane wa kiwango cha juu.
Ukiwa mwanaume mweusi ili uongozane na demu mkali sharti mfukoni uwe vizuri.
Lakini kwa mwanaume mweupe hata kama hana kitu mfukoni mwanamke yupo tayari amgharamikie ili mradi watoke out tu.
Welcome to jungle [emoji2]Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.
~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.
~ Awe na kazi.
~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.
Kwahiyo wewe ni mweupe kama karatasi??Ndiyo mkuu.
Unatafuta mwenza au mume kuwa specific mkuuu [emoji90]Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.
~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.
~ Awe na kazi.
~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.
Jinga lingine hili [emoji23][emoji23]Wanaume weupe tuna bei ghali sana ndo maana wanawake wengi wanatuogopa.
Hao weusi ni wa bei chee ndo maana ni rahisi kuwapata.
Wanaume weupe tunaringa kwasababu kila demu tunayemtaka tunampata kirahisi tofauti na black hadi awe na chenji ndo ampate mwanamke.
Pia wanawake wanatuogopa kwasababu hatukawii ku cheat kwakuwa tunamendewa na mademu wakali.
Medecin Mwizukulu mgikuru toeni ushuhuda wakuuKuna ambao washawahi kukutana humu na wakajenga hizo familia?... kama wapo mjitokeze mtoe experience.
Duuh! Wanawake wa wapi hao?Ndiyo iko hivo japo mimi maji ya kunde tu.
Weupe ni Gold........huna pesa ila wanashoboka...
Wapi kivipi, mimi sielewi.....
Haujibu pmMimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.
~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.
~ Awe na kazi.
~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.