Natafuta mwenza

Inferiority ama superiority mkuu?

Watu tunasumbiliwa na mademu hadi tunawatafutia vijisababu uchwara kuwatema halafu wasemaje tena?

Ninao wake wawili mkuu lakini bado wanawake wananisunbua sana mtaani kwasababu ya rangi zetu hizi za mitume.
Why tusikuweke kundi la malaya kuliko kujinasib wewe mweupe. Kwanza wanawake wanapenda zaidi mwanaume mweusi labda mdada awe mwwusi ndo atapenda mwanaume mweupe. Yaan mdada awe mrembo, na mwanaume pia uwe mrembo
 
Omba sana Mungu,in heri kukutana na mtu ukitoka matembezini,kanisani,sokoni,au popote pale kuliko kutafuta humu.JITULIZE.
 
Usichague mtu kwa vigezo vyako! Mwambie Mungu akutafutie wa kufanana na wewe.
 
Namshangaa sana huyu jamaa anajivunia weupe wake, kwanza mwanaume huwa tunajivunia pesa sio sura
 
Mrejesho
 
Nina vigezo vyote karibu
 
Nichekie PM tulijadili plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…