Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hataki kuja jutia umri ukianza kumtupa mkonoYou are too young kuanza kusaka wapenzi wasojulikana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hataki kuja jutia umri ukianza kumtupa mkonoYou are too young kuanza kusaka wapenzi wasojulikana..
Biashara matangazoYou are too young kuanza kusaka wapenzi wasojulikana..
Why tusikuweke kundi la malaya kuliko kujinasib wewe mweupe. Kwanza wanawake wanapenda zaidi mwanaume mweusi labda mdada awe mwwusi ndo atapenda mwanaume mweupe. Yaan mdada awe mrembo, na mwanaume pia uwe mremboInferiority ama superiority mkuu?
Watu tunasumbiliwa na mademu hadi tunawatafutia vijisababu uchwara kuwatema halafu wasemaje tena?
Ninao wake wawili mkuu lakini bado wanawake wananisunbua sana mtaani kwasababu ya rangi zetu hizi za mitume.
Eti mwanaume mweupe nyeeInferiority complex ndo hii sasa.
Weusi tupo poa
Umeona eeh weusi tuna mvuto sana kuliko weupe
Acha tu ndgu, mwanaune anajisifu yeye ni mzuri, mabazizi hayakuachi salamaEti mwanaume mweupe nyee
HatariAcha tu ndgu, mwanaune anajisifu yeye ni mzuri, mabazizi hayakuachi salama
MrejeshoMimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.
~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.
~ Awe na kazi.
~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.
Nina vigezo vyote karibuMimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.
~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.
~ Awe na kazi.
~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.
Nichekie PM tulijadili plzMimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.
~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.
~ Awe na kazi.
~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.