Natafuta mwenza

Natafuta mwenza

Bado msichana mdogo,jitahidi kuhudhuria misa/ibada na mafunzo ya kidini....
Mungu atakupea wakufanana na wewe...

Eti awe mkristu,aishi dar!!!! Punguza vigezo kandamizi
😀😀
 
Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.

Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.

~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.

~ Awe na kazi.

~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.
waoaji ni wenye 41-50 hao nao huwataki?
 
Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.

Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.

~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.

~ Awe na kazi.

~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.w

Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.

Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.

~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.

~ Awe na kazi.

~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.
Unaitaji wanaume wa darl na bado unaweka masharti🤔 auko silias
 
Ukiona mwanamke anasema hataki kuwa na mwanaume mweupe ukimdadisi vizuri atakwambia wanaringa sana na mwanaume mweupe hawezi kuwa wa peke yako lazima wanawake wengine wanammezea mate.

Hiyo ndo siri kuu ya wanawake wengi kutopenda kuwa na mahusiano na wanaume weupe kwasababu huwa wanajihisi kutojaliwa.

Hili wamewahi kuniambia wanawake kadhaa kwahiyo naongea kwa uzoefu ulio hai sio wakusimuliwa tu.
Na wanaume wengi weupe wanaongoza kupakuliwa
 
Back
Top Bottom