Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
😀😀Bado msichana mdogo,jitahidi kuhudhuria misa/ibada na mafunzo ya kidini....
Mungu atakupea wakufanana na wewe...
Eti awe mkristu,aishi dar!!!! Punguza vigezo kandamizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Bado msichana mdogo,jitahidi kuhudhuria misa/ibada na mafunzo ya kidini....
Mungu atakupea wakufanana na wewe...
Eti awe mkristu,aishi dar!!!! Punguza vigezo kandamizi
waoaji ni wenye 41-50 hao nao huwataki?Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.
~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.
~ Awe na kazi.
~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.
Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.
~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.
~ Awe na kazi.
~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.w
Unaitaji wanaume wa darl na bado unaweka masharti🤔 auko siliasMimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.
~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.
~ Awe na kazi.
~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.
Umeanza ubakaji?😂😂😂😂Nina 56 yrs, single hebu tuyajenge
heheheeNina 56 yrs, single hebu tuyajenge
Unajua sisi mababu ambao huwa hatuzeeki, tunakuwa na upendo sana, haswa na tutoto tuzuriUmeanza ubakaji?😂😂😂😂
Unataka mama Nyanzala akutoe roho uwe kibwengo ututishe makaburini?😂😂😂😂Unajua sisi mababu ambao huwa hatuzeeki, tunakuwa na upendo sana, haswa na tutoto tuzuri
Anaitwa Ng'wanambiti NyanzobeUnataka mama Nyanzala akutoe roho uwe kibwengo ututishe makaburini?😂😂😂😂
Mwanangu Masota nakuja kumtolea posa.Ng'ombe 250.Anaitwa Ng'wanambiti Nyanzobe
Tunakuja zizini kuchaguaMwanangu Masota nakuja kumtolea posa.Ng'ombe 250.
Ndoho gogolo.Ndoho shida.Wakipata "mwijukuu" wa kwanza aitwe Ng'washi.Tunakuja zizini kuchagua
Na wanaume wengi weupe wanaongoza kupakuliwaUkiona mwanamke anasema hataki kuwa na mwanaume mweupe ukimdadisi vizuri atakwambia wanaringa sana na mwanaume mweupe hawezi kuwa wa peke yako lazima wanawake wengine wanammezea mate.
Hiyo ndo siri kuu ya wanawake wengi kutopenda kuwa na mahusiano na wanaume weupe kwasababu huwa wanajihisi kutojaliwa.
Hili wamewahi kuniambia wanawake kadhaa kwahiyo naongea kwa uzoefu ulio hai sio wakusimuliwa tu.
😂😂unaharibu mchongo sasa😂
Unamchomea utambi😂😂😂😂😂Msimu wa sikuku huu mazee