Natafuta nafasi ya internship kwenye NGOs ama Serikalini

Natafuta nafasi ya internship kwenye NGOs ama Serikalini

Metamorphosis

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
206
Reaction score
358
Habari wanaJF!
Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 24. Nimehitimu 2021 shahada ya Usimamizi wa Mifumo ya Afya (Bachelor's Degree in Health Systems Management) ya chuo kikuu Mzumbe.
Kwasasa natafuta mahali pa kujifunza zaidi kwa vitendo. Interest yangu ni kwenye NGOs lakini hata nikipata Serikalini ni sawa.
Ni mwajibikaji na charismatic public speaker. Nahaidi kutomuangusha yule atakaenisaidia.
Asante.
 
Back
Top Bottom