Natafuta nafasi ya kazi au kibarua

Natafuta nafasi ya kazi au kibarua

Bonsipele69

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2023
Posts
364
Reaction score
915
Habari zenu Wanajukwaa
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza apo juu,
Naitwa Eric natafuta kazi yeyote halali ya kuniingizia kipato. Elimu yangu ni Chuo kikuu bachelor degree in logistics and transport management. Ninafahamu humu jamii forum Kuna watu wengi na tofauti tofauti ambao wanaweza kuajiri ama kuunganisha na fursa ya ajira
Pia Nina ujuzi wa ufundi simu ambao nimeupata mtaani kwa mafundi wazoefu hivyo kwa ndugu au jamaa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata ofisi ya kujishikiza itakuwa imenisaidia sana.
Mawasiliano:
0711406248.
royeric957@gmail.com
 
Nimewahi kufanya kama store assistant pale tridea for one year
 
Boy umesoma kozi nzuri sana kuna kampuni nyingi za wachina za clearing and forwarding peleka cv. Nina jamaa zangu wamesoma iyo kozi wapo kwenye hivyo vi kampuni aisee wanapiga hela balaa mixer wamedondosha vimeijengo na vigari vya kutanulia mjini hapa.

Nakushauri ukikosa kabisa omba hata kujitolea.
 
Asante ndugu

Back
Top Bottom