Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
ThanksMungu na akupe HITAJI la Moyo wako
Madada wa reception wana roho mbaya wengi wao hawazifikishi kwa md au hr managerSiusambaze CV kampuni za Usafirishaji na zile za Clearing Posta
Boy umesoma kozi nzuri sana kuna kampuni nyingi za wachina za clearing and forwarding peleka cv. Nina jamaa zangu wamesoma iyo kozi wapo kwenye hivyo vi kampuni aisee wanapiga hela balaa mixer wamedondosha vimeijengo na vigari vya kutanulia mjini hapa.
Nakushauri ukikosa kabisa omba hata kujitolea.