Mimi ni mdada nina umri wa miaka 21
Nmemaliza chuo Cha Excellence college of health and allied sciences mwaka huu
Diploma in pharmaceutical
Nlkuwa natafuta kazi ya pharmaceuticals dispenser Dar es salaam
Mwenye connection naomba ani pm
Assalam aleyqum Ndugu mwana jamvi! ningependa moja moja niende kwenye mada tajwa hapo juu, anatakiwa mtu wa phamarcy kwa ngazi ya certificate eneo la kazi dar es salam..kwa maelezo zaidi na majadiliano karibu PM