Natafuta nafasi ya kufanya mazoezi ya vitendo ya social work

Natafuta nafasi ya kufanya mazoezi ya vitendo ya social work

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kama kichwa kinavyo jieleza

Namtafutia mwanafunzi wa Social work mahali pa kufanyia mazoezi ya vitendo.

Nimeandaa shilingi laki moja (100,000 Tsh) kwa atakaye fanikisha.

Ahsanteni
 
Kama kichwa kinavyo jieleza,
Namtafutia mwanafunzi wa Social work mahali pa kufanyia mazoezi ya vitendo.

Nimeandaa shilingi laki moja (100,000 Tsh) kwa atakaye fanikisha.

Ahsanteni
Unamaanisha sehemu ya kufanya Field work ?
 
Kuna wanafunzi nimewahi kuwaona kwenye ofisi ya mtendaji wa mtaa Dodoma walikuwa wa social works.

Ajaribu manispaa, mara nyingi nafasi huwa zinapatikana. Wao watajua ni wapi watawasaidia ili wafanye field.
 
Nawasalimu kwa jina la jamhuri,kazi iendelee.
Screenshot_20210614-145531.jpg
 
Peleka barua muhimbili hospital
Nitumie kalaki kangu tafadhali😁
 
[emoji23][emoji23] SEMA KIMEUMANAAAAA. Mwaka mmoja baadae unatafuta pakufanya kwa vitendo bure. [emoji23][emoji23]
IMG_20210616_113209.jpg
 
Back
Top Bottom