Jo Assistant
Senior Member
- Jun 20, 2014
- 195
- 199
- Thread starter
-
- #41
Ni kweli, but that is according to bongo stigma.Mpira haupo ivyo mkuu
Katika kutafuta kwangu, bado sijapata kwa kweli. Ndio maana nimeona sio vibaya kuweka wazi uhitaji wangu huku, ili iwe rahisi kwa viongozi, makocha au wachezaji wa timu za daraja la 3 (au daraja lolote) kuniona hasa kama nao wanahitaji wachezaji kwa sasa (ni suala la wao kuniita tu kwenye kikosi).Tafuta hata timu za daraja la tatu zinazoshiriki shirikisho
Unfortunately mimi siishi Dar. Hapo ni changamoto kweli kweli.Ahsante sana dada yangu.
Wadau wengi wa JF hawanikubali ndugu yao (ndio maana timu zetu nyingi hazina mafanikio ndani na nje ya nchi maana wenye nia na juhudi hawakubaliki, ukilinganisha na wenye vipaji. Tumezoea kupondana, kupeana destructive feedback na hatuna roho ya kusaidiana kwa upendo). Halafu mtu akitoboa, ndio watu wanaanza kumkumbuka.
Ninao familia na ndugu huko Dar ila nawakwepa maana hawani'support kabisa japo wanajua kuhusu hiki kipaji changu. Watu wangu wengi wa karibu hawaniungi mkono pia mimi kuendeleza kipaji changu katika soka, Ila wanataka nitafute kazi na kuajiriwa (na kama unavyoona kwa sasa - hali ya ajira ni mbaya nchini).
Yaani ni bora hata ningekuomba wewe unipokee na uni'host kama upo Dar kwa kweli (ningekuwa tayari kusaidiwa na wewe).
Oh.... Okay. Kwani upo mkoa gani?Unfortunately mimi siishi Dar. Hapo ni changamoto kweli kweli.
Ila Gaël Bigirimana ndio kwanza ana miaka 29 sasa hivi.Nenda yanga pale unacheza team ina wazee kibao nenda kachukue nafasi ya bigirimana