Jo Assistant
Senior Member
- Jun 20, 2014
- 195
- 199
- Thread starter
- #41
Ni kweli, but that is according to bongo stigma.Mpira haupo ivyo mkuu
Hii ni karne ya 21 na wote tumeshuhudia mambo mengi "impossible" yakiwa "possible", katika nyanja mbalimbali za maisha (Hata JPM na Colonel Sanders wa KFC walituonyesha mfano).
Katika mpira, hujawahi hata kusikia historia za kina Toni, Klose, Vardy na Drogba? Au unafikiri hayo hayawezekani kwa Tanzania? Kweli wakoloni walituharibu.
Soma kwanza hii post, ili ujifunze kitu.
15 Famous Soccer Players Who Started Playing Late
15 Famous Soccer Players Who Started Playing Late – Authority Soccer